Lesson 4 of 4 ยท Grade 9 Kiswahili
Fasihi andishi: riwaya na tamthilia
15 min
Riwaya
Hadithi ndefu ya kubuni yenye wahusika wengi, matukio mengi na sura (milango).
Tamthilia
Hadithi iliyoandikwa ili iigizwe jukwaani. Ina maonyesho na matendo, na wahusika huzungumza moja kwa moja (dayalojia). Maelekezo ya jukwaa huandikwa kwa mabano.
Continue reading this lesson
Create a free account to read the full notes, try the quizzes and games, and join live classes. 3-day free trial.