Lesson 3 of 4 · Grade 9 Kiswahili

Hotuba na ripoti

15 min

Hotuba

Ni maelezo yanayotolewa mbele ya hadhira.

  • Itifaki: tambua wageni kwa vyeo. Mgeni wa heshima, mwalimu mkuu, walimu, wazazi na wanafunzi wenzangu, hamjambo!
  • Utangulizi: jitambulishe na mada.
  • Mwili: hoja kuu kwa aya.
  • Hitimisho: shukrani. Asanteni kwa kunisikiliza.

Continue reading this lesson

Create a free account to read the full notes, try the quizzes and games, and join live classes. 3-day free trial.