Lesson 3 of 4 ยท Grade 8 Kiswahili

Hadithi fupi: vipengele vya fasihi

15 min

Tunapochambua hadithi fupi tunaangalia:

  • Dhamira: lengo la mwandishi.
  • Maudhui: masuala yanayozungumziwa, kwa mfano ufisadi, elimu, ndoa, umaskini.
  • Wahusika: watu au viumbe katika hadithi. Mhusika mkuu ndiye anayezungumziwa zaidi.
  • Mandhari: mahali na wakati hadithi inapotendeka.
  • Mtindo: matumizi ya lugha, kwa mfano methali, tashbihi, taharuki (suspense), kinaya (irony).
  • Ploti (msuko): mpangilio wa matukio.

Continue reading this lesson

Create a free account to read the full notes, try the quizzes and games, and join live classes. 3-day free trial.