Lesson 4 of 4 ยท Grade 6 Kiswahili

Ushairi

15 min

Shairi ni utungo wenye mpangilio maalum wa maneno, vina na mizani.

Istilahi za ushairi

  • Ubeti: kifungu cha mistari katika shairi.
  • Mshororo: mstari mmoja wa shairi.
  • Kina: silabi za mwisho zinazofanana katika mishororo.
  • Mizani: idadi ya silabi katika mshororo.
  • Kibwagizo: mshororo unaorudiwa katika kila ubeti.
  • Kipande: nusu ya mshororo (ukwapi na utao).

Mfano wa ubeti

Continue reading this lesson

Create a free account to read the full notes, try the quizzes and games, and join live classes. 3-day free trial.