Lesson 2 of 4 · Grade 4 Kiswahili

Ngeli ya A-WA na KI-VI

15 min

Ngeli ni makundi ya nomino kulingana na upatanisho wa kisarufi.

Ngeli ya A-WA

Ngeli hii ina nomino za viumbe hai kama watu na wanyama.

  • Umoja: Mtoto anacheza. Mbuzi anakula nyasi.
  • Wingi: Watoto wanacheza. Mbuzi wanakula nyasi.

Continue reading this lesson

Create a free account to read the full notes, try the quizzes and games, and join live classes. 3-day free trial.