Lesson 4 of 4 ยท Form 4 Kiswahili

Uchambuzi wa fasihi andishi na hotuba

18 min

Vipengele vya kuchambua

  • Wahusika: mhusika mkuu, wahusika wasaidizi, wahusika bapa (hawabadiliki) na duara (hubadilika).
  • Maudhui: mambo yanayozungumziwa (uongozi, ufisadi, elimu, nafasi ya mwanamke).
  • Dhamira: lengo la mwandishi.
  • Mtindo: matumizi ya lugha (tashbihi, sitiari, taharuki, kinaya, methali, kejeli, ishara, jazanda).
  • Mandhari: mahali na wakati wa matukio.

Jinsi ya kujibu swali la dondoo

1. Eleza muktadha: msemaji, msemewa, mahali, sababu.

Continue reading this lesson

Create a free account to read the full notes, try the quizzes and games, and join live classes. 3-day free trial.