Lesson 4 of 4 ยท Form 3 Kiswahili
Barua rasmi
15 min
Muundo wa barua rasmi
1. Anwani ya mwandishi pembeni kulia, na tarehe chini yake.
2. Anwani ya mwandikiwa upande wa kushoto.
3. Mtajo: Kwa Mkurugenzi, au Mpendwa Bwana/Bi,
4. Kichwa/Mada: KUH: OMBI LA NAFASI YA KAZI (kimeandikwa kwa herufi kubwa na kupigiwa mstari).
Continue reading this lesson
Create a free account to read the full notes, try the quizzes and games, and join live classes. 3-day free trial.